Rooney akimtoka Sagna
Daaa...chupu chupu!
Bastian akiachia shuti mbele ya Fernadinho
Ander Herrera akipanga amtoke vipi Kompany wa City
Sir Alex Ferguson
Yaya Toure akikanywa
Chupuchupu!
Rooney na Kompany wakiteta kwa mikono!
Sterling, Bony na Bruyne
Martial
Kompany akioneshwa kadi ya njano katika kipindi cha kwanza na Mwamuzi Mark Clattenburg.
Antonio aliumia hapa katika kipindi cha kwanza
Hadi mapumziko Man United 0 v 0 Man City
Kocha Manuel akiteta jambo
Kocha wa Man City
Wakongwe! Kompany na Rooney wakiukimbiza mpira
Martial na Sagna 
Morgan
....Rooney akipata matibabu ya muda baada ya kuumia kichwani
Martial na Otamendi
Yaya Toure
VIKOSI:Man Utd: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Rojo, Schweinsteiger, Schneiderlin, Mata, Ander Herrera, Martial, Rooney.
Akiba: Depay, Carrick, Blind, Romero, Fellaini, Lingard, Darmian.
Man City: Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Kolarov, Fernando, Fernandinho, De Bruyne, Toure, Sterling, Bony.
Akiba: Zabaleta, Caballero, Jesus Navas, Mangala, Demichelis, Roberts, Iheanacho.
Refa: Mark Clattenburg
Fernadinho
Wakiingia Uwanjani
0 maoni:
Chapisha Maoni