.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 15 Oktoba 2015

Tagged Under:

RATIBA, LA LIGA: JUMAMOSI REAL UWANJANI DHIDI YA LEVANTE, BARCELONA v RAYO VALLECANO.

By: Unknown On: Alhamisi, Oktoba 15, 2015
  • Share The Gag

  • BAADA ya kupisha Mechi za Kimataifa kwa Wiki mbili, La Liga ipo dimbani Wikendi hii kwa Jumamosi kupigwa Mechi 5, Jumapili 4 na Jumatatu moja.
    Vinara wa Ligi hii ya Spain ni Villareal ambao wako Pointi 1 mbele ya Timu 3 ambazo ni Real Madrid, Celta Vigo na Barcelona ambazo zote zimefungana zikiwa na Pointi 15 kila mmoja na kupishana tu kwa ubora wa Magoli.
    Jumamosi Real Madrid wako kwao Santiago Bernabeu kucheza na Levante katika Mechi ya kwanza ya La Liga Wikiendi hii na Usiku Barcelona wataingia Uwanjani kwao Nou Camp kucheza na Rayo Vallecano.
    Vinara Villareal wao wapo Nyumbani Jumapili kucheza na Timu ya 3 Celta Vigo.

    LA LIGA
    RATIBA
    Jumamosi Oktoba 17

    17:00 Real Madrid v Levante
    19:15 Eibar v Sevilla
    21:30 Barcelona v Rayo Vallecano
    23:00 Valencia v Malaga
    23:05 Real Betis v Espanyol

    Jumapili Oktoba 18
    13:00 Villarreal v Celta Vigo
    17:00 Real Sociedad v Atletico Madrid
    19:15 Getafe v Las Palmas
    21:30 Deportivo v Athletic Bilbao

    Jumatatu Oktoba 19
    21:30 Sporting Gijon v Granada

    0 maoni:

    Chapisha Maoni