.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 19 Oktoba 2015

Tagged Under:

LOWASSA AWEKA KAMBI MJINI MBEYA, AUNGURUMA VIWANJA VYA RWANDA-NZOVYE

By: Unknown On: Jumatatu, Oktoba 19, 2015
  • Share The Gag


  • Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.



    Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni