.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

Tagged Under:

RATIBA, LIGI KUU ENGLAND: JUMAMOSI

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 23, 2015
  • Share The Gag

  • BAADA ya kuzichapa Man United, Watford na Bayern Munich, Jumamosi Arsenal wana nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza katika Miaka Miwili ikiwa wataifunga Evrton Uwanjani Emirates.
    Msimu uliopita kwenye Mechi kama hii, Arsenal iliifunga Everton 2-0 na safari hii Arsenal wapo kwenye wimbi zuri la ushindi wakitoka kuzichapa 3-0 Man United na Watford kwenye Ligi na 2-0 Bayern Munich kwenye UEFA CHAMPIONS.
    Everton wao wanatinga kwenye Mechi hii wakitoka kwenye kipigo cha 3-0 Nyumbani kwao Goodison Park kutoka kwa Man United.

    Ikiwa Arsenal wataifunga Everton basi watakaa kileleni mwa Ligi pengine hadi Jumapili wakati Dabi ya Manchester ikichezwa huko Old Trafford kati ya Man United na Man City ambao wana nafasi ya kuishusha Arsenal toka kileleni.

    LIGI KUU ENGLAND
    RATIBA:
    Jumamosi Oktoba 24

    17:00 Aston Villa v Swansea
    17:00 Leicester v Crystal Palace
    17:00 Norwich v West Brom
    17:00 Stoke v Watford
    17:00 West Ham v Chelsea
    19:30 Arsenal v Everton

    Jumapili Oktoba 25
    15:00 Sunderland v Newcastle
    17:05 Bournemouth v Tottenham
    17:05 Man United v Man City 

    19:15 Liverpool v SouthamptonSmalling akishangilia bao lake kwenye mchezo uliowakutanisha City na Man 

    0 maoni:

    Chapisha Maoni