.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 30 Oktoba 2015

Tagged Under:

Prof. Jay na Ubunge !! Mpya ya Nikki wa Pili? Joh Makini na Tuzo ya Diamond

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 30, 2015
  • Share The Gag


  • Professor Jay ni mmoja wa rappers waliojitahidi kuwekeza nguvu nyingi kwenye Bongo Fleva, lakini 2015 aliamua kubadili nguvu hizo kwa kuwekeza zaidi kwenye Siasa… Kagombea Ubunge wa Jimbo la Mikumi Morogoro na kafanikiwa kupita kw
    enye nafasi hiyo.
    Prof Jay
    Prof. Jay, mshindi wa kiti cha Ubunge Jimbo la Mikumi.
    Prof. Jay amesema amefurahi kwa ushindi huo, anachoangalia zaidi kwa sasa ni kujitahidi kuleta maendeleo Jimbo lake kwa kushirikiana na kila mtu kwa sababu maendeleo yanatakiwa na kila mtu bila kujali itikadi ya chama.
    Nikki wa Pili kaingia kwenye story za +255 leo ambapo amesema ilikuwa aachie kazi nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Baba Swalehe‘ lakini mipango imesogezwa mbele ili kupisha masuala ya Uchaguzi mkuu uliofanyika Tanzania.
    nikki1
    Member wa Kundi la Weusi, Nikki wa Pili.
    Nikki amesema wanategemea promo kubwa toka kwa vyombo vya habari kwa ajili ya kutangaza kazi zao, lakini vyombo vingi vilibebwa na story za Siasa kwa kipindi hiki ndio maana kazi hiyo ikasogezwa.
    Diamond
    Diamond Platnumz
    Diamond Platnumz ameshinda Tuzo ya Best Worldwide Act siku chache zilizopita nchini Italy, rapper Joh Makini kaupokea kwa furaha ushindi huo kwa sababu ushindi wake ni heshima kwa Africa pia…
    Joh Makini
    Joh Makini

    0 maoni:

    Chapisha Maoni