.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 3 Agosti 2015

Tagged Under:

Hivi ndivyo ilivyokuwa ndoa ya wakala wa Ronaldo, mastaa waliohudhuria.

By: Unknown On: Jumatatu, Agosti 03, 2015
  • Share The Gag


  • Hatimaye wakala namba moja wa wanasoka bora ulimwenguni, Jorge Mendes jana alifunga ndoa na mchumba wake wa siku, Sandra Barbosa.
     
    Sherehe ya ndoa ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka ulimwenguni, huku Cristiano Ronaldo, mteja mkuu wa Mendes akiwa ‘mpambe rasmi’ wa bwana harusi.

    Cristiano Ronaldo akiingia kanisani

    Wageni waalikwa wengine walikuwa ni kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson, Raisi wa Real Madrid, Florentino Perez, James Rodriguez, Jose Bosingwa na Deco De Souza pamoja na Pepe.
    Mwanasoka Pepe wa Real Madrid nae alikuwepo
     
    Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Barcelona Deco De Souza
      
    James Rodriguez wa Real Madrid nae alihudhuria
     
    Bwana Harusi Jorge Mendes
      
    Jose Bosingwa – mchezaji wa zamani wa Chelsea
     
    Rais wa Real Madrid Florentino Perez
      

    0 maoni:

    Chapisha Maoni