.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 13 Oktoba 2015

Tagged Under:

ANGALIA RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOPEWA TUZO NA TASWA, NAYE ALIVYOWAKABIDHI TUZO WANAMICHEZO BORA

By: Unknown On: Jumanne, Oktoba 13, 2015
  • Share The Gag

  • RAIS JAKAYA KIKWETE (KUSHOTO) AKIPOKEA TUZO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA TASWA, JUMA PINTO.

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo za Michezo Tanzania (Taswa) kimetoa tuzo maalum kwa Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake mkubwa katika michezo katika kipindi cha miaka yake 10 ya uongozi.


    Kikwete alipewa tuzo hiyo jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Lakini pamoja na tuzo hiyo, Kikwete naye aliwakabidhi tuzo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri wakati wa kipindi chake.

    AKIMPA TUZO MWANARIADHA, SAMSON RAMADHANI

    KWA NIABA YA MWANAYE AKIMPA TUZO MAMA YAKE MZAZI MWANAKIKAPU, HASHEEM THABEET...

    AKIMPA TUZO BONDIA FRANCIS CHEKA

    RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI AKITOA NGAO KUONYESHA KUTAMBUA MCHANGO WA JAKAYA KIKWETE KATIKA MCHEZO WA SOKA

    SALEH ZONGA, MMOJA WANAKIKAPU WAKONGWE NA KIONGOZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA (TBF) AKIMPA RAIS KIKWETE TUZO YA MPIRA

    0 maoni:

    Chapisha Maoni