.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 1 Septemba 2015

Tagged Under:

IMETOSHA Music and Laughters Night

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 01, 2015
  • Share The Gag

  • Ndugu zangu, Nawasalimu katika jina la bwana, Assalam Aleykum!
    Nikianza na neno la shukrani, naomba nizitoe za dhati kwa kunivumilia, na kufanya nami kampeni ya Imetosha katika mazingira magumu sana katika awamu ya kwanza. Hii ni kutokana na ugeni katika uendeshwaji wa taasisi pamoja na uhalisia wa safari za kiharakati, mara nyingi wanaofika safari huwa ni wachache, lakini nyie hamkuwahi kukata tamaa katika kuniunga mkono.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni