.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 16 Julai 2015

Tagged Under:

ZAHARA MICHUZI AJITOA KIMASOMASO, ACHUKUA FOMU YA UBUNGE WA VITI MAALUM.

By: Unknown On: Alhamisi, Julai 16, 2015
  • Share The Gag


  • Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.
    Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamalizia muda wake sasa.
    Binti wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikua wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.


    Zahara Michuzi (kushoto) na Mwasham Hashim (kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa maelekezo ya uchukuaji wa form hizo.

    Binti huyo wa Michuzi akikabidhiwa form yake leo katika ofisi za UVCCM mkoa-Tabora

    0 maoni:

    Chapisha Maoni