.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 23 Julai 2015

Tagged Under:

SIMBA SC WANAVYOJIFUA ZENJI, WAKITOKA HUKO NI KUCHINJA CHINJA TU HADI UBINGWA

By: Unknown On: Alhamisi, Julai 23, 2015
  • Share The Gag


  • Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mechi dhidi ya AFC Leopards mwezi ujao katika tamasha la Simba Day litakalofanyika na baadaye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kulia ni kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mserbia DuĊĦan Momcilovic.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni