.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 24 Julai 2015

Tagged Under:

KAGAME CUP 2015: FULL TIME, YANGA 2 vs 0 KMKM

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 24, 2015
  • Share The Gag


  • Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho akishuka kwenye basi la Yanga muda mfupi uliopita tayari kwa mechi ya saa 10:00 dhidi ya KMKM ya Zanzibar

    Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (mbele) na Haruna Niyonzima (nyuma yake) wakielekea vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kipute cha Kombe la Kagame dhidi ya KMKM

    Joseph Zuttah kushoto anaanzia benchi leo

    Kocha msaidizi wa Yanga na kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa atakuwa kwenye benchi la ufundi akimsaidia mkuu wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni