.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 25 Julai 2015

Tagged Under:

Wasanii wa Bongo Fleva wanazidi kufanya vizuri Africa Na 1 huyo hapo

By: Unknown On: Jumamosi, Julai 25, 2015
  • Share The Gag

  • Ommy Dimpoz
    Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu. Tumeona Vanessa Mdee na Diamond Platnumz wakiiwakilisha Tanzania vizuri kwenye chati mbali mbali za redioni na Tv Africa, wakachaguliwa kwenye Tuzo za MTV MAMA Awards 2015 ambazo Diamond Platnumz alirudi na ushindi wa Tuzo moja ya Best Live Act.
    pkp2
    Good news kwako mtu wangu, wasanii wa Tanzania wanazidi kuonekana kwenye countdown za shows mbalimbali mmoja wao akiwa Superstaa wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz.
    Wiki hii Ommy Dimpoz ameshika namba moja kwenye countdown ya Soundcity Top Ten East na wimbo wa Wanjera hii ni good news kwa Watanzania kwa msanii mwengine wa Bongo Fleva kuonekana kwenye nafasi ya namba moja.
    pkp3
    Ommy Dimpoz alipost ujumbe huu Instagram kuonyesha furaha yake.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni