.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 19 Julai 2015

Tagged Under:

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MAPOKEZI YA MAGUFULI MKOANI GEITA

By: Unknown On: Jumapili, Julai 19, 2015
  • Share The Gag


  • Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.


    Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi.

    Msafara wa Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Geita. PICHA ZOTE NA MICHUZIJR

    0 maoni:

    Chapisha Maoni