Mabingwa
wa England Chelsea wanebamizwa Bao 4-2 na New York Red Bulls wakati
Kijana wa Miaka 16 akiwatoboa moja ya Bao hizo huko Red Bull Arena, New
York katika Mechi yao ya kwanza Ziarani USA.
Bao
za Chelsea zilifungwa na Loic Remy na Eden Hazard lakini ni New York
Red Bulls waliokwenda mbele 3-1 huku Tyler Adams, Kijana wa Miaka 16,
akipiga moja ya Bao hizo. Bao Nyingine za Red Bull zilifungwa na Franklin Casterllanos na Davis Bao 2.
Mechi ifuatayo kwa Chelsea ni hapo Jumamosi dhidi ya PSG.
Adams akichuana na Oscar
Victor Moses
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana bao lao
Diego Costa akituliaza mpira
Costa chupuchupu apate bao hapa
Eden Hazard akiruka juu kumpita adui
Ramires akiparanganyika kwenye patashika kuutafuta mpira
0 maoni:
Chapisha Maoni