.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 17 Julai 2015

Tagged Under:

UHAMISHO 2015: LIVERPOOL NA MAN UNITED WAGOMBANIA SAHIHI YA CHRISTIAN BENTEKE ANAYEUZWA £32.5 MILLION!

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 17, 2015
  • Share The Gag
  • Kumeibuka ripoti ya Liverpool kuja juu kuipiku Manchester United kwa kukubali kutoa Pauni Milioni 32.5 kumnunua Straika wa Aston Villa Christian Benteke.
    Liverpool walikuwa wakimsaka Straika huyo wa Belgium tangu Msimu uliopita kumalizika ingawa hawakuwa tayari kulipa zaidi ya Pauni 25 kumnunua lakini hali yao imebadilika ghafla baada ya kusikia Man United nao wana nia na Benteke.
    Baada ya kumuuza Winga wao Raheem Sterling kwa Manchester City kwa Pauni Milioni 49, Liverpool sasa wanazo Fedha za ziada kumlipia Benteke mwenye Miaka 24.
    Tayari Liverpool imeshanunua Wachezaji wengine 6 kwa ajili ya Msimu ujao ambao ni Nathaniel Clyne, Roberto Firmino, Danny Ings, Adam Bogdan, Joe Gomez na James Milner.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni