.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 21 Julai 2015

Tagged Under:

Mbunge James Lembeli alivyotangaza kuhama CCM kwenda CHADEMA leo July 21 2015…

By: Unknown On: Jumanne, Julai 21, 2015
  • Share The Gag


  • 2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV, Radio na hata mitandaoni.
    Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna stori za baadhi ya Wabunge wametangazwa kuhama Vyama vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM kwa maneno yake mwenyewe.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni