AZAM FC imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na
Kati, Kombe la Kagame baada ya kuwafunga KCCA ya Uganda bao 1-0 jioni ya
leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Mfungaji wa bao hilo la pekee ni Nahodha, John Raphael Bocco Kipindi cha kwanza na Kipindi cha pili hakuna aliyeziona nyavu za mwenzake.
0 maoni:
Chapisha Maoni