.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 28 Julai 2015

Tagged Under:

HAMISI KIIZA 'DIEGO' AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO SIMBA SC

By: Unknown On: Jumanne, Julai 28, 2015
  • Share The Gag

  • Hamisi Kiiza (jezi namba tano) akipongezwa na wenzake jana baada ya kufunga
    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Friday Kiiza ‘Diego’ jaja amefunga bao lake la kwanza akiichezea kwa mara ya kwanza klabu yake mpya, Simba SC katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kombaini ya Zanzibar.
    Katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar Simba SC ikicheza kwa mara ya kwanza chini ya kocha wake mpya, Muingereza Dylan Kerr iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
    Bao lingine la Simba SC lilifungwa na Nahodha mpya wa klabu hiyo, Mussa Hassan Mgosi. 

    0 maoni:

    Chapisha Maoni