.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 27 Julai 2015

Tagged Under:

Manchester United na kipa huyu kutoka Argentina

By: Unknown On: Jumatatu, Julai 27, 2015
  • Share The Gag
  • van gaal
    Wakati klabu mbali zikiendelea na zoezi la kuandaa timu zao kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu, tayari Manchester United imemsainisha kipa wa Argentina, Sergio Romero kwa mkataba wa miaka mitatu.
    Kipa huyo mwenye miaka anachukua nafasi ya mkongwe Victor Valdes aliyekosana na Kocha wake Luois van Gaal.
    Romero aliwahi kufanya kazi akiwa anafundishwa na van Gaal wakati wakiwa katika klabu ya AZ Alkmaar mwaka 2009.
    Kipa huyo mwenye uwezo wa juu  ataongeza ushindani na David De Gea ambaye imekuwa ikielezwa anataka kujiunga na Real Madrid.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni