.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 24 Julai 2015

Tagged Under:

Man City VS Real Madrid

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 24, 2015
  • Share The Gag
  • Generated by  IJG JPEG Library
    International Champions Cup bado inaendelea Australia kwa timu tatu kushiriki ambazo ni Manchester City kutokea Uingereza, Real Madrid ya Hispania na AS Roma ya Italia… Michuano imeandaliwa na kampuni ya Audi, ambapo July 21 2015 Man City ilicheza na AS Roma ya Italia katika uwanja  wa Melbourne Cricket Ground na Man City kushinda kwa jumla kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 2-2.
    1690752_heroa
    July 24 2015 tayari imekamilika mechi kati ya Man City na Real Madrid ya Hispania mchezo uliofanyika katika uwanja wa  Melbourne Cricket Ground, mchezo umemalizika kwa Real Madrid kushinda kwa kuifunga Man City kwa jumla goli 4-1, magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema dakika ya 21, Cristiano Ronaldo dakika ya 25, Pepe na Denis Cheryshev dakika ya 73 huku bao pekee la Man City likifungwa na Yaya Toure dakika ya 45.
    3000
    Nimekusogezea video na picha za mchezo huo ilivyokuwa.
    Generated by  IJG JPEG Library 

    Generated by  IJG JPEG Library
    Shabiki aliingia uwanjani ili amshike mkono Bale huku mtu mwingine akionekana kumzuia.

    Generated by  IJG JPEG Library
    Generated by  IJG JPEG Library
    Generated by  IJG JPEG Library

    Generated by  IJG JPEG Library

    0 maoni:

    Chapisha Maoni