.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 27 Julai 2015

Tagged Under:

MBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO

By: Unknown On: Jumatatu, Julai 27, 2015
  • Share The Gag


  •  Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana.
     Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
      Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo.
    Wanahabari wakichukua taarifa hiyo

    0 maoni:

    Chapisha Maoni