.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 1 Julai 2015

Tagged Under:

UHAMISHO 2015: NATHANIEL CLYNE AJIUNGA NA KLABU YA LIVERPOOL, ASAINI MKATABA WA MIAKA 5

By: Unknown On: Jumatano, Julai 01, 2015
  • Share The Gag


  • Akimwaga wino kwenye karatasi kujiunga jumla na Klabu ya Liverpool kutokea Southampton

     Nathaniel Clyne akipozi kupata picha na Uzi wa Liverpool

    Clyne amesaini mkataba wa miaka 5 kwa kitita cha  £12.5m

    Clyne tayari amekamilisha mambo yake yote ikiwemo upimwaji na sasa yu Tayari kuleta mabadiliko kwenye Klabu mpya ya Liverpool.


    Clyne ni miongo mwa wachezaji 6 waliosajiliwa na Liverpool kwa msimu wa 2015/2016

    0 maoni:

    Chapisha Maoni