
Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.
Katika mchezo huo Marekani ilifanikiwa
kutawala mchezo kwa muda wote kwani ndani ya dakika 15 tayari wailikua
wameshafunga mabao 4 na kuwachanganya zaidi wapinzani wao.
Hapa nimekuwekea pichaz wakati wakishangilia ushindi huo hapa jana.

0 maoni:
Chapisha Maoni