.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 3 Julai 2015

Tagged Under:

HAMISI KIIZA AFUZU VIPIMO, ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 03, 2015
  • Share The Gag

  • Mshambuliaji Hamisi Kiiza amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba ya Dar es Salaam.

    Kiiza amesaini mkataba huo baada ya kufuzu zoezi la vipimo jijini Dar es Salaam.

    Kiiza ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliwasili jana akitokea nchini Uganda kwa ajili ya vipimo na kumalizia mazungumzo na uongozi wa Simba.

    Akiwa nchini, Kiiza alisema amekuja kufanya kazi na Simba.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni