.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 15 Julai 2015

Tagged Under:

ARSENAL 4 vs 0 SINGAPORE, CHUBA AKPOM NI HATARI SANA, APIGA HAT-TRICK

By: Unknown On: Jumatano, Julai 15, 2015
  • Share The Gag

  • Chuba Akpom(kushoto) akishangilia Hat-trick yake leo hii mbele ya Wasingapore.Mashabiki wa Arsenal 4-0
    1-0 kipindi cha kwanza Dakika ya 30 Chuba Akpom anaifungia bao la kwanza Gunners, Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack Wilshere kipindi cha pili dakika ya 60 na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Singapore kwenye mchezo wa Kirafiki jioni hii. Dakika ya 76 Chuba Akpom aliifungia bao la tatu Arsenal na kufanya 3-0.
    Dakika ya 79 tena Chuba Akpom aliipatia bao la nne Arsenal kwa mkwaju wa penati na kufanya 4-0 katika kipindi cha pili baada ya kusaidiwa pasi na Héctor Bellerín.
    Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack WilsherePer Metersacker akikabana na Amri wa SingaporeTaswira ya Uwanja wa SingaporeNyomi ya Mashabiki wakiwa wametinga kwA wingi katika Uwanja huo wa Taifa wa SingaporeJack W. akifanya yakeTaswira kabla kiputeMike Arteta akifurahia jambo UwanjaniGibbs na Ross (kulia) wakiutazama.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni