Liverpool 4 vs 0 True Thai All Stars
Kikosi cha Liverpool kilichowafunga Thai All stars bao 4-0 leo kwenye mchezo wa kirafiki
Bao za Liverpool leo lizilifungwa na Lazar Markovic dakika ya 3, Mamadou Sakho dakika ya 42, Adam Lallana dakika ya 52 na lile la dakika ya 86 la Mbelgian Origi wameipa Ushindi mnono Timu ya Liverpool leo wakiongozwa na Meneja wao Brendan Rodgers kwenye Mtanange wa kirafiki wa kujiima kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016 leo hii mchana huko Bangkok. Liverpool walikuwa wakicheza na wenyeji wao Timu Kombaini ya huko Bangkok ya Thai All Stars ambao wametoka kapa.
Mapema Danny Ings alifunga bao lakini bao hilo lilikataliwa kwani lilionekana lina utata!
Danny Ings na Kolo Toure wakishangilia bao
Lazar ndie aliyeanza kuliona lango la wenyeji wao Thai All Stars
Sakho akipongezwa!
Mamado Sakho akiomba baada ya kuifungia bao Liverpool
Chupuchuu!
Mashabiki kabla ya mechi kuanza
Wenyeji lakini ni mashabiki wa Liverpool
Mashabiki lukuki wakisonga Uwanjani tayari kuucheki mtanange huo wa kirafiki
Shabiki wa kweli!
0 maoni:
Chapisha Maoni