.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 15 Aprili 2015

Tagged Under:

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: PSG 1 vs 3 BARCELONA,

By: Unknown On: Jumatano, Aprili 15, 2015
  • Share The Gag

  • Kipindi cha pili dakika ya 67 Luis Suarez alipenyeza kwa mapeki n kuachia shuti na kumfunga kipa wa PSG baada ya kupenyezewa mpira na Martín Montoya na kufanya 2-0 dhidi Bayern Munich ya Ujerumani. 3-1...suarez akipongezwa baada ya kufunga bao mbili peke yake usiku huuBao la Tatu lilifungwa tena na Luis Suarez dakika ya 78 na kufanya 3-0. Bao la PSG lilifungwa na Gregory Van Der Wiel dakika ya 82 mpira ukitenguliwa njia na Javier Mascherano na kufanya 3-1.Neymar akishangilia bao lake la dakika ya 18 baada ya kuitangulizia bao Barcelona kwa kufanya 1-0 dhidi ya PSG katika kipindi cha kwanza. Neymar akishangilia bao lake la nne kwa msimu huu wa Klabu Bingwa Ulaya kwenye mechi nane alizocheza.Neymar akipongezwa na Lionel Messi baada ya kufunga bao, Neymar alipewa pasi na Messi kisha kufunga bao hilo la kipindi cha kwanza.Neymar akimkumabtia staa MessiLaurent Blanc wa PSG akipagawaDavid Luiz akijificha Uso!1-0VIKOSI:
    PSG: Sirigu, van der Wiel, Thiago Silva, Marquinhos, Maxwell, Rabiot, Cabaye, Matuidi, Lavezzi, Cavani, Pastore.
    Akiba: Douchez, Camara, Lucas Moura, Bahebeck, Digne, Luiz, Kimpembe.
    Barcelona: Ter Stegen, Montoya, Pique, Mascherano, Jordi Alba, Rakitic, Busquets, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar.
    Akiba: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano, Mathieu.
    Referee: Mark Clattenburg

    0 maoni:

    Chapisha Maoni