.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 9 Aprili 2015

Tagged Under:

FIFA - LISTI YA UBORA DUNIANI: TANZANIA YASHUKA IPO 107!

By: Unknown On: Alhamisi, Aprili 09, 2015
  • Share The Gag

  • FIFA Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani kwa Nchi na Mabingwa wa Dunia Germany wameendelea kuwa juu wakifuatiwa na Argentina huku Tanzania ikishuka Nafasi 7 na kushika Nafasi ya 107.
    Nchi ya juu kabisa kwa Afrika bado ni Algeria lakini imeporomoka Nafasi 3 na sasa ipo ya 21 ikifuatiwa na Ivory Coast ambayo pia imeshuka Nafasi 3 na ipo ya 23.
    Nchi mpya kwenye 10 Bora ni Switzerland na Spain wakati France na Italy zimetoka huko.

    Nayo Belgium imepanda Nafasi 1 na ni wa 3 baada ya kuchukua nafasi ya Colombia huku Brazil wakipanda moja wakiwa Nafasi ya 5.
    England nao wanaisogelea 10 Bora baada kupanda Nafasi 3 na kushika Nafasi ya 14.
    Listi nyingine ya Ubora itatolewa hapo Mei 7

    LISTI YA UBORA DUNIANI:
    20 BORA:

    1. Germany
    2. Argentina
    3. Belgium
    4 Colombia
    5. Brazil
    6. Netherlands
    7. Portugal
    8. Uruguay
    9. Switzerland
    10. Spain
    11. France
    12. Romania
    13. Italy
    14. England
    15. Costa Rica
    16. Chile
    17. Croatia
    18. Mexico
    19. Czech Republic
    20. Slovakia

    0 maoni:

    Chapisha Maoni