.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 3 Aprili 2015

Tagged Under:

KOCHA ARSENE WENGER NA MCHEZAJI WAKE OLIVIER GIROUD "BORA" MWEZI MARCH, 2015

By: Unknown On: Ijumaa, Aprili 03, 2015
  • Share The Gag


  • Olivier Giroud na Meneja  Arsene Wenger wamepewa Tuzo waote wawili huku Giroud akiwa mchezaji bora wa Premier League na Wenger kuwa Kocha Bora wa Mwezi huo wa Tatu.


    Straika wa Arsenal Olivier  Giroud amefunga bao tano katika mechi alizocheza mwezi uliopita wa tatu

    Wenger anapigana kucheza LIGI ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions)  msimu huu au kupanda juu

    Arsenal wako nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu  Premier League kutokana na kushinda mechi zao za mwezi wa tatu na wako nyuma ya pointi 7 ya Chelsea.


    USHINDI WA ARSENAL KWA MEZI WA TATU.
    March 1 Arsenal 2-0 Everton (1 Giroud goal)
    March 4 QPR 1-2 Arsenal (1)
    March 14 Arsenal 3-0 West Ham (1)
    March 21 Newcastle United 1-2 Arsenal (2)
    Giroud analingana na Harry Kane kwa mabao kwa kwezi huo wa tatu lakini wanazidiana kitimu....Arsenal wameshinda mechi zote na Spurs wamefungwa mechi mbili za huo mwezi.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni