Philippe Coutinho akishangilia bao lake dakika ya 71 huko Ugenini Ewood Park
Mapumziko hakuna Timu iliyoliona lango la mwenzake, Si Blackburn Rovers wala Liverpool.
Raheem Sterring kaanza kipindi cha kwanza katika kipute hiki cha marudiano kati ya Blackburn Rovers vs Liverpool.
0 maoni:
Chapisha Maoni