FC
Porto walipata bao la kwanza kupitia kwa Ricardo Quaresma dakika ya 3
kwa mkwaju wa penati na bao la pili dakika ya 10 kupitia kwa mchezaji
huyo huyo Ricardo Quaresma. Bao la Bayern Munich lilifungwa na Thiago
Alcantara dakika ya 28 kipindi hicho cha kwanza na kufanya 2-1.
Kipindi
cha pili Jackson Martínez wa FC Porto alipewa pasi safi na Alex Sandro
na kukatiza kwa mabeki na kumkaanga kipa wa Bayern na kumfunga bao la
tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Bayern Munich. Jackson Martínez anafikisha bao 6 kwenye michezo 7 aliyocheza ya Klabu Bingwa Ulaya Msimu huu.
Porto wameshinda 3-1 dhidi ya Vinara wa Ligi ya Ujerumani
Bayern kipa Manuel Neuer akimwangusha chini straika wa Porto Jackson Martinez
Wakimznga Mwamuzi
Kipa Neuer akifungwa bao na Quaresma
Meneja wa Bayern Pep Guardiola kichwa chini baada ya kupigwa bao 3-1
Kocha wa FC Porto Julen Lopetegui akitafuta pointi 
FC Porto vs Bayern Munich VIKOSI:
Porto: Fabiano, Danilo, Maicon, Martins Indi, Alex Sandro, Herrera, Casemiro, Torres, Quaresma, Martinez, Brahimi.
Akiba: Helton, Quintero, Reyes, Evandro, Hernani, Ruben Neves, Aboubakar.
Bayern Munich: Neuer, Rafinha, Boateng, Dante, Bernat, Lahm, Alonso, Thiago, Muller, Lewandowski, Gotze.
Akiba: Helton, Quintero, Reyes, Evandro, Hernani, Ruben Neves, Aboubakar.
Bayern Munich: Neuer, Rafinha, Boateng, Dante, Bernat, Lahm, Alonso, Thiago, Muller, Lewandowski, Gotze.
Akiba: Reina, Pizarro, Gaudino, Rode, Badstuber, Weiser, Lucic.
Refa: Carlos Velasco Carballo
Refa: Carlos Velasco Carballo
0 maoni:
Chapisha Maoni