.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 13 Aprili 2015

Tagged Under:

FULL TIME: NEWCASTLE UNITED 0 vs 2 LIVERPOOL,

By: Unknown On: Jumatatu, Aprili 13, 2015
  • Share The Gag

  • Raheem Sterling akishangilia bao lake la dakika ya 9 kipindi cha kwanza baada ya kuwa butu katika baadhi ya mechi na kuhusishwa kutaka kuondoka Liverpool..leo hii usiku kawaamsha mashabiki kwenye viti kushangilia bao lake, Newcastle United mtanange huu wameumaliza pungufu uwanjani kwao baada ya mwenzao Sissoko kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mbaya Lucas.

    Liverpool Ushindi huu umewasimaisha nafasi ya tano wakiwa na pointi 57 wakiwa nyuma ya City wenye pointi 61 wakiwa nafasi ya nne kwenye Ligi Hiyo pendwa Duniani ya EPL huko England. Newcastle United wameachwa nafasi ya 13 wakiwa na pointi 35 nyuma ya Everton wenye pointi 38.Joe Allen dakika ya 70 kipindi cha pili aliwapachikia Liverpool bao la pili na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Newcastle United. Raheem Sterling dakika ya 9 anaipachikia bao Liverpool na kufanya 1-0 dhidi ya Newcastle United. 
    Hadi mapumziko Liverpool walikuwa wanaongoza kwa bao hilo la Raheem Sterling.
    VIKOSI:
    Liverpool Wanaoanza:
    Mignolet, Johnson, Can, Lovren, Moreno, Allen, Lucas, Henderson, Ibe, Coutinho, Sterling
    Liverpool Akiba: Jones, Toure, Lambert, Manquillo, Borini, Brannagan, Markovic
    Newcastle United Wanaoanza: Krul, R.Taylor, Janmaat, Williamson, Colback, Anita, Abeid, Sissoko, Cabella, Obertan, Perez.
    Newcastle Akiba: Elliot, Sterry, Gouffran, Gutierrez, Ameobi, Armstong, Riviere

    0 maoni:

    Chapisha Maoni