.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 13 Aprili 2015

Tagged Under:

MKUTANO WA ACT WAZALENDO JIMBO LA MOROGORO MJINI JANA WATEMBELEA ENEO LA AJALI NA KUSHIRIKI MAZISHI KILOSA LEO,ATOA ONYO KWA SERIKALI

By: Unknown On: Jumatatu, Aprili 13, 2015
  • Share The Gag


  • Wanachama ACT wazalendo la wananchi wa jimbo la Morogoro mjini wakiwa katika mkutano wa ACT wazalendo leo

    viongozi wa kitaifa wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano wa hadhara jimbo la Morogoro mjini leo

    Wanachama wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa leo


    Wananchi wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa leo

    Afande Selle akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Morogoro mjini kupitia ACT Wazalendo leo


    Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Bw Samson Mwigamba akieleza sera ya chama hicho leo

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT wazalendo Anna Mngwira akiwahutubia wananchi wa jimbo la Morogoro mjini leo


    Zitto Kabwe kushoto na afande Selle wakionyesha alama ya ACT wazalendo

    viongozi wa ACT wazalendo wakijumuika kucheza wimbo mpya wa ACT wazalendo



    kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe akihutubia katika mkutano wa chama hicho jimbo la Morogoro mjini leo












    0 maoni:

    Chapisha Maoni