.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 15 Aprili 2015

Tagged Under:

AIRTEL YAKABIDHI KWA WASHINDI 8 WA MKOA WA DAR ES SALAAM

By: Unknown On: Jumatano, Aprili 15, 2015
  • Share The Gag



  • Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao
    Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.

    Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.

    Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Mama lishe Efgenia Mathew Mushi katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.

    Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Kinyozi Juma Ally Songoro katika hafla iliyofanyika
    Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.

    Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Kinyozi Juma Ally Songoro katika hafla iliyofanyika
    Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.

    Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za magari mapya aina ya Toyota IST, kwa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, (kutoka kushoto), Subeti Salim Subeti, Kuruthumu Seleman Forogo, Juma Ally Songoro, Liliani Festo Mjimba, Christone Edick Mbalamula, Efgenia Mathew Mushi na Obel Samwel Mwamugiga katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.

    Mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Subeti Salim Subeti akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), funguo ya gari jipya aina ya Toyota IST, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania,
    Frank Filman (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni watoto wa mshindi huyo.

    Mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Kuruthumu Seleman Forogo akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), funguo ya gari jipya aina ya Toyota IST, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel
    Tanzania, Frank Filman (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni kaka wa mshindi huyo, Yasin Juma.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni