.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 16 Aprili 2015

Tagged Under:

EUROPA LIGI, Mashindano makubwa ya pili kwa Klabu Barani Ulaya

By: Unknown On: Alhamisi, Aprili 16, 2015
  • Share The Gag

  • EUROPA LIGI, Mashindano makubwa ya pili kwa Klabu Barani Ulaya, Alhamisi yanaingia hatua za Robo Fainali kwa Mechi zake za kwanza kuchezwa.
    Kama ilivyo kwa UEFA CHAMPIONS LIGI, England haina hata Timu moja kwenye hatua hii baada ya Everton na Tottenham kutupwa nje hatua iliyopita.

    Mabingwa Watetezi, Sevilla ya Spain, bado wamo kwenye Mashindano haya na wanaanza Nyumbani katika Mechi na Klabu ya Urusi, Zenit St Petersburg.
    Italy inazo Klabu 2, Fiorentina na Napoli.

    EUROPA LIGI
    Robo Fainali
    Alhamisi Aprili 16

    22:05 Club Brugge vs Dnipro Dnipropetrovsk
    22:05 Dynamo Kiev vs Fiorentina
    22:05 Sevilla vs Zenit St Petersburg
    22:05 VfL Wolfsburg vs Napoli 


    Marudiano
    22:05 Dnipro Dnipropetrovsk vs Club Brugge
    22:05 Fiorentina vs Dynamo Kiev
    22:05 Napoli vs VfL Wolfsburg
    22:05 Zenit St Petersburg vs Sevilla

    0 maoni:

    Chapisha Maoni