.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 19 Aprili 2015

Tagged Under:

LA LIGA: REAL MADRID 3 vs 1 MALAG

By: Unknown On: Jumapili, Aprili 19, 2015
  • Share The Gag
  • Sergio Ramos kaifungia bao dakika ya 24 kipindi cha kwanza kufanya 1-0 dhidi ya Malaga.

    Kipindi cha pili dakika ya 69 James Rodríguez aliifungia bao la pili Real Madrid huku Cristiano Ronaldo akimaliza mchezo huo kwa kufunga bao dakika za majeruhi bao la tatu kwa 3-1 dhidi ya Malaga na kwenye Dakika ya lala salama dakika ya 90.
    Ronaldo pia alikosa mkwaju wa penati kipindi cha pili katika mchezo huu wa leo dhidi ya Malaga. Bao la pekee la Malaga lilifungwa na Juanmi dakika ya 71.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni