
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kuibuka na pointi 3 muhimu dhidi ya Man United.

Chelsea ikiwa watashinda Mechi zao 2 zinazofuata basi wao ni Mabingwa.

Ubingwa ni wa kwetu!!

Fellaini akifanya yake

Rooney akipata maelezo juu ya rafu kwa Falcao

John Terry akigombea mpira wa kichwa kupitia kona
Kocha Jose Mourinho
Ushindi huu umewapa Chelsea uongozi wa
Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Arsenal na Man United kubaki Nafasi ya 3
wakiwa Pointi 11 nyuma.
Chelsea walifunga Bao lao la ushindi Dakika
ya 38 kupitia Eden Hazard baada ya pasi nzuri ya kisigino ya Oscar
kwenye Mechi ambayo Man United walimiliki Mpira kwa Asilimia 70 dhidi ya
30 ya Chelsea.
Katika
Dakika za mwishoni Refa Mike Dean aliinyima Man United Penati baada ya
Ander Herrera kuangushwa ndani ya Boksi na badala yake kumpa Kadi ya
Njano.
Eden
Hazard dakika ya 38 kipindi cha kwanza aliipatia bao la kuongoza kwa
kufanya 1-0 dhidi ya Manchester United. Baaada ya kupata pasi safi ya
kisigino kutoka Oscar na kumfunga kipa wa Man United De Gea na mechi
kwenda mapumziko Chelsea wakiongoza. 
Eden Hazard akipongezwa na Mashabiki kwa kufanya 1-0

Hazard chupuchupu apate bao tena


Ander akimbana Cesc Fabrigas

Mwamuzi akizungukwa na wavchezaji wa Man United juu ya rafu

Fellaini na Zouma

Ander na Cesc

Drogba kwenye patashika

Drogba dhidi ya Ander Herrera
0 maoni:
Chapisha Maoni