.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 23 Aprili 2015

Tagged Under:

EUROPA LEAGUE USIKU HUU KUPIGWA, ROBO FAINALI - WAMO NAPOLI vs WOLFSBURG, ZENIT ST. PETERSBURG vs SEVILLA..

By: Unknown On: Alhamisi, Aprili 23, 2015
  • Share The Gag

  • Usiku huu EUROPA LIGI watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Fainali na Timu 4 Washindi zitaingizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa.
    Mechi za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa Mei 7 na 14 ni Marudiano.

    Kocha wa Napoli Rafael Benítez akiteta na Gökhan Inler

    Mazoezini


    Kocha wa Napoli Rafael Benítez
    Kocha wa Napoli Rafael Benítez(kulia) akiongea na Waandishi wa habari ( Hawapo Pichani) juu ya Mtanange wao wa leo Usiku dhidi ya Wolfsburg.

    EUROPA LIGI
    ROBO FAINALI
    Mechi zote kuanza Saa 22:05

    Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza
    Alhamisi Aprili 23
    Dnipro vs Club Brugge (0-0)
    Fiorentina vs Dynamo Kiev (1-1)
    Napoli vs VfL Wolfsburg (4-1)
    Zenit St Petersburg vs Sevilla (1-2)

    0 maoni:

    Chapisha Maoni