.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 9 Aprili 2015

Tagged Under:

LA LIGA:REAL MADRID YAICHAPA RAYO VALLECANO 2-0 YAIPUMULIA BARCELONA, CRISTIANO RONALDO AFUNGA BAO LAKE LA 300

By: Unknown On: Alhamisi, Aprili 09, 2015
  • Share The Gag

  • Real Madrid inazidi kuipumulia Barcelona katika mbio za La Liga baada ya kuichapa Rayo Vallecano 2-0 Kwa ushindi huo, Real Madrid inaendelea kutofautishwa kwa pointi kati yake na Barcelona ambayo hapo awali iliifumua Almeria 4-0. Ronaldo akishangilia bao lake la 300Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo aliyetupia katika dakika ya 68 muda mfupi baada ya kulimwa kadi ya njano kwa kujirusha huku bao la pili likifungwa na James Rodriguez dakika ya 74.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni