.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 4 Oktoba 2015

Tagged Under:

CRYSTAL PALACE 2 v 0 WEST BROM

By: Unknown On: Jumapili, Oktoba 04, 2015
  • Share The Gag

  • Yohan Cabaye alipatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya West Brom kwa mkwaju wa penati baada ya  Zaha kuangushwa ndani ya 18.
    Ushindi huu umeipandisha Timu hiyo ya Palace juu nafasi ya tatu na wakiwa na pointi 15.
    Yannick Bolasie alitupia bao dakika ya 68 kipindi cha pili na kuwapa nguvu ya kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya West Brom Albion.Zaha akiendesha mpiraYohane akipiga penati!Pongezi!

    0 maoni:

    Chapisha Maoni