Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Kajumulo Tibaijuka
Taswira za picha enzi ya uhai wa Marehemu Mhe. Samuel Luangisa
Merehemu
Samwel Lwangisa alizaliwa mwaka 1932 na mauti yalimkuta New York
Marekani tarehe 25.05.2015 na kuzikwa leo Jumatano juni 3, 2015 Nyumbani
kwake Kitendaguro Bukoba.
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini

(katikati) ni Mzee Masabala
0 maoni:
Chapisha Maoni