Robin Van Persie akiifich uso! Dakika ya 83 Robin van Persie Alifunga bao na kuifanikishia bao la pili na matokeo kuwa 3-2.Bao
za Czech Republic zimefungwa na Pavel Kaderabek dakika ya 24 na Josef
Sural dakika ya 35 bao la tatu likiwa la kujifunga kupitia kwa Robin van
Persie dakika ya 66, Bao la Netherlands limefungwa na Klaas-Jan
Huntelaar dakika ya 70 na kufanya bao kuwa 3-1. Van Persie akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi
Netherlands 0 v 2 Czech Republic
0 maoni:
Chapisha Maoni