.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 4 Septemba 2015

Tagged Under:

Janet Jackson angependa wimbo huu uwe kwenye playlist yako; ‘Unbreakable’

By: Unknown On: Ijumaa, Septemba 04, 2015
  • Share The Gag


  • Baada ya kuachia video ya wimbo wake ‘No Sleep’ aliomshirikisha J Cole kutoka kwenye album yake mpya ‘Unbreakable’, Janet Jackson amerudi tena kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani.
    Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni miongoni mwa mashabiki wakubwa wa Janet Jackson basi hii ikufikie… Janet ameachia single mpya kutoka kwenye album yake mpya wimbo unaitwa ‘Unbreakable’ na ndio wimbo unaobeba jina la album mpya ya Janet Jackson.
    janetJ
    Album ya Janet Jackson ‘Unbreakable’ itakuwa sokoni mwezi October tarehe 2, hii ni album ya kwanza ya Janet Jackson ndani ya miaka 7 na utayarishaji wa album nzima umesimamiwa na label ya Janet iitwayo ‘Jackson’s Rhythm Nation Record Label’

    0 maoni:

    Chapisha Maoni