.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 5 Septemba 2015

Tagged Under:

Ratiba ya michuano ya AFCON 2017 Weekend hii ipo hapa mtu wangu..

By: Unknown On: Jumamosi, Septemba 05, 2015
  • Share The Gag

  • Hatua ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2017) kundelea weekend hii katika viwanja tofauti tofauti barani Afrika, Nimeona nikusogeze na ratiba ya mechi za Septemba 5 na 6 za michezo kadhaa ya hatua ya hii.
    Ratiba ya mechi za Jumamosi ya Septemba 5
    1. Tanzania Vs Nigeria      16:30
    2. Liberia Vs Tunisia         19:00
    3. Sudan Kusini Vs Equatorial Guinea 16:30
    4. Comoros Vs Uganda 15:00
    5. Botswana Vs Burkina Faso  17:00
    6. Sao Tome and Principe Vs Morocco 18:30
    7. Rwanda Vs Ghana 16:30
    8. Seychelles Vs Ethiopia 15:30
    9. Burundi Vs Niger 16:30
    10. Namibia Vs Senegal 16;30
    11. Mauritania Vs Afrika Kusini 20:00
    12. Guinea-Bissau Vs Congo 19:00
    Ratiba za mechi ya Jumapili Septemba 6
    1. Madagascar Vs Angola 14:30
    2. Central African Republic Vs DR Congo 17:00
    3. Benin Vs Mali 18:00
    4. Kenya Vs Zambia 16:00
    5. Libya Vs Cape Verde 20:00
    6. Chad Vs Misri 17:30
    7. Mauritius Vs Msumbiji 14:00
    8. Sierra Leone Vs Ivory Coast 18:00
    9. Lesotho Vs Algeria 16:00
    10. Swaziland Vs Malawi 16:00
    11. Zimbabwe Vs Guinea 16:00
    12. Gambia Cameroon 19:30

    0 maoni:

    Chapisha Maoni