
JUVENTUS vs REAL MADRID
SEVILLA vs FIORENTINA
NAPOLI vs DNIPRO


Albert Soler, Amador Bernabeu, Ludovic Giuly y Jordi Mestre forman la comitiva del Barça



Albert Soler, Amador Bernabeu, Ludovic Giuly y Jordi Mestre forman la comitiva del Barça
ZURII HOUSE OF BEAUTY AND BONGO DEEJAYS PRESENT!!
Hivyo
Yanga, ambao tayari wameshakuwa moja ya Timu mbili zitakazocheza
Mashindano ya CAF ya Klabu Barani Afrika Msimu ujao, wanahitaji Pointi 6
tu kuwa bila Bingwa bila kujali nini mpinzani wake Azam FC anakifanya.
UROPA
LIGI, Mashindano makubwa ya pili kwa Klabu Barani Ulaya, Usiku huu
Alhamisi yamemaliza Mechi zake za Robo Fainali na Mabingwa Watetezi
Sevilla ya Spain, Dnipro Dnipropetrovsk ya Ukraine na Timu mbili za
Italy, Fiorentina na Napoli, zimefuzu kuingia Nusu Fainali.
Usiku
huu EUROPA LIGI watakamilisha Mechi zao za Marudiano za Robo Fainali na
Timu 4 Washindi zitaingizwa kwenye Droo ya kupanga Mechi za Nusu
Fainali ambayo pia ni huru bila kujali Utaifa.
Ijumaa
Aprili 24 Mchana huko Nyon, Uswisi kwenye Makao Makuu yao, UEFA
itaendesha Droo maalum za kupanga Mechi za Nusu Fainali za Mashindano
yao makubwa kwa Klabu za Ulaya yale ya UEFA CHAMPIONS LIGI na EUROPA
LIGI.
Timu
hizo 4 ni Mabingwa Watetezi Real Madrid na wenzao wa Spain, FC
Barcelona, Mabingwa wa Italy, Juventus na Mabingwa wa Germany, Bayern
Munich.
Mechi za Nusu Fainali zitachezwa Mei 5 na 6 na Marudiano ni Mei 12 na 13.
Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru
Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.
Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru
Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.
Sina mbavu mieee nipisheeee!!! Chicharito baada ya kuizima Atletico Madrid usiku huu!
Chicharito
akishangilia bao lake la pekee baada ya kuifungia na kuipa Ushindi Real
usiku huu dhidi ya Atletico Madria kwenye marudiano ya Klabu Bingwa
Ulaya. Bao hilo limewapeleka Real Madrid Nusu Fainali ya 31 na Droo ya
Nusu Fainali itachezeshwa Ijumaa ya wiki hii.
Javier
Hernández aliwafungia bao Real Madrid dakika za majeruhi na kufanya 1-0
dhidi ya Atletico Madrid, Ni Baada ya kupewa pasi ndani ya boksi na
Staa wa Real Cristiano Ronaldo na kufunga bao hilo la Ushindi. Real
wamesonga hatua ya Nusu faonali kwa Ushindi wa bao la Chicharito.
Mtanange huu pia Atletico Madrid walimaliza pungufu wachezaji 10
Uwanjani baada ya mwenzao Arda Turan kuoneshwa kadi njano ya pili na
kuoneshwa kadi Nyekundu kwa kumchrzea rafu mbaya mchezaji wa Real Madrid
Sergio Ramos.
Cristiano Ronaldo akiendesha..mpira wakati wa kipindi cha kwanza
Chicharito hoi! akishangaa kuona mpaka kipindi cha kwanza kinakatika bado 0-0, Ngoma ngumu!
Ronaldo akiachia shuti
Ronaldo tena..
Arda Turan akioneshwa kadi ya njano
Sergio Ramos kwenye patashika mpira wa kichwa!
Arda Turan akimwangaisha Fabio wa Real
Ronaldo akijishika kichwa katika kipindi cha kwanza
Sergio Ramos chini akijiuguza katika kipindi cha kwanza.
Kikosi cha Real Madrid kilichoanza dhidi ya Atletico Madrid
Kikosi cha Atletico Madrid
Diego Semeone na Carlo Ancelotti wakisaliniana kabla ya kipute kuanza Bernabeu
Mashabiki wa Real madrid wakiwapungia Mastaa wao
Robo Fainali-Mechi za Marudiano 
Copyrights @ 2014, Gagism Blogger Template - Designed By Templateism | ProBloggerTricks Back to Top