.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 6 Machi 2015

Tagged Under:

MCHEZA FILAMU WA HOLLYWOOD HARRISON FORD APATA AJALI YA NDEGE!

By: Unknown On: Ijumaa, Machi 06, 2015
  • Share The Gag


  • Mcheza Filamu wa Hollywood Harrison Ford
    Mcheza filamu wa Hollywood,Harrison Ford, anapatiwa matibabu katika Hospitali moja mjini Los Angels baada ya ndege yake kuukuu kuanguka katika uwanja wa Gofu.
    Mcheza filamu huyo mwenye umri wa miaka 72 alikuwa akiendesha ndege hiyo mwenyewe.
    Ndege hiyo ndogo ilinasa kwenye mti wakati ilipokuwa ikitua kwa dharula.

    Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema Harrison Ford alikuwa amejeruhiwa, akionekana kuwa na damu iliyotapakaa usoni.
    Matabibu wamesema Ford anaendelea vizuri na kuwa hali yake itatengamaa kabisa.
    Harrison Ford Hospitalized After Crashing Plane
    Soma Zaidi Hapa »

    0 maoni:

    Chapisha Maoni