
Juzi Jumatano Chelsea ilitupwa nje ya UEFA CHAMPIONS LIGI na Paris St-Germain lakini kwenye Ligi Kuu England wao ni Vinara wa Ligi wakiwa Pointi 5 mbele ya Timu ya Pili Manchester City ambao ni Mabinngwa Watetezi waliocheza Mechi 1 zaidi.


Copyrights @ 2014, Gagism Blogger Template - Designed By Templateism | ProBloggerTricks Back to Top
0 maoni:
Chapisha Maoni