Jumanne, 24 Machi 2015
Tagged Under:
ENGLAND! WAFANYA MAZOEZI MAKALI KUJIANDAA NA MTANANGE WAO NA LITHUANIA
By:
Unknown
On: Jumanne, Machi 24, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Harry Kane nae ndani wakifanya mazoezi leo hii
Harry Kane akiendesha wakati wa mazoezi yao leo kujiandaa na Timu ya Lithuania
Danny Welbeck
Kocha Mkuu Roy Hodgson akimcheki Wayne Rooney
Ryan Mason akikabana na Ross B.
Kupoza kiu: Harry Kane akipata maji wakati wa mapumziko
Wayne Rooney na Dom Solanke walipata tuzo
Harry Kane na Ross wakiufukuzia mpira wakati wa Mazoezi leo
Roy Hodgson akiteta na baadhi ya Wasaidizi wake leo wakati wa mazoezi
Harry
Kane ambaye aliitwa kwa mara kwanza katika Kikosi hicho Chini ya
Uongozi wa Roy alipata nafasi ya kujumuika na kuwasoma wenzake wakati wa
mazoezi leo hii wakati wanajiandaa na kipute cha kuwakabili Lithuania.
Harry Kane
Kipa Joe hart
Rooney akipata picha na Viongozi wake baada ya kupewa Tuzo yake.
Copyrights @ 2014, Gagism Blogger Template - Designed By Templateism | ProBloggerTricks Back to Top
0 maoni:
Chapisha Maoni