.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 14 Machi 2015

Tagged Under:

AJALI YA BASI LA OSAKA ENEO LA CBE DODOMA TAARIFA MBAYA TENA YA AJALI YA BASI LA OSAKA ENEO LA CBE DODOMA

By: Unknown On: Jumamosi, Machi 14, 2015
  • Share The Gag
  • Ajali mbaya ambayo imetokea Usiku wa kuamkia leo  maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata tela lake katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na t ela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali
     
     

    0 maoni:

    Chapisha Maoni