.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 13 Machi 2015

Tagged Under:

HARRY KANE MCHEZI BORA MWEZI FEBRUARI ENGLAND.

By: Unknown On: Ijumaa, Machi 13, 2015
  • Share The Gag



  • Harry Kane mchezaji wa Spurs amechaguliwa kuwa mcezaji bora mwezi jana Februari ambaye kwa mwezi uliopita ameiwezesha Tottenham kufufuka na kuweza kupanda juu kwenye ligi Kuu England. Akizibamiza timu kadhaa kama Arsenal, na Akikunga bao waliponyukwa 3-2 na Liverpool huku wakitoka sare na West Ham ya 2-2.

    Kane akishangilia bao baada ya kuwanyoosha Arsenal bao 2-1 walpocheza kwenye Uwanja wa Nyumbani White Hart Lane Feb. 7, 2015.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni